Mbunge
wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael (katikati) akiwa na Diwani wa
kata ya Korongoni Ally Mwamba (kushoto) walipotembelea uwanja wa ndege
mdogo wa Moshi .
Meneja
wa Uwanja mdogo wa ndege wa Moshi,Fredrick Kimaro akisoma taarifa ya
uwanja huo kwa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael
alipotembelea uwanja huo.
Mbunge
wa Jimbo la Moshi mjini ,Jafry Michael akizungumza jambo alipotembelea
uwanja huo kuona namna ya kukabiliana na changamoto zilizopo.
Meneja
wa Uwanja huo Fredrick Kimaro akisisitiza jambo wakati akitoa maelezo
kwa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini alipotembelea uwanjani hapo.
Mbunge
wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael akiwa ameongozana na Mkuu wa
usalama wa uwanja huo Macmilan Matili kuangalia maeneo mbalimbali ya
uwanja huo.
Meneja
wa uwanja mdogo wa ndege Moshi,Fredrick Kimaro akimuonesha Mbunge wa
jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael eneo la maegesho ya ndege katika
uwanja huo.
Mbunge Jafary Michael na ujumbe wake wakiongozwa kupita katika eneo la kutua ndege uwanjani hapo.
Meneja
wa uwanja wa ndege wa Moshi ,Fredrick Kimaro akimsikiliza kwa makini
Mbunge Jafary Michael wakatia akishauri jambo baada ya kutembelea maeneo
mbalimbali ya uwanja huo.
Eneo la kukimbilia ndege katika uwanja mdogo wa ndege Moshi likionekana katika hali hii.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
SHARE
No comments:
Post a Comment