Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Rwanda Paul
Kagame mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika Ngurdoto nje
kidogo ya jiji la Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyata kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Ngurdoto nje kidogo ya jiji la
Arusha.PICHA NA IKULU.
SHARE
No comments:
Post a Comment