Mwenyekiti
wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa na Kuchapishwa kwa
sheria ndogo ndogo za Bunge Mhe. William Ngeleja (kushoto) akizungumza
na wajumbe wa kamati hiyo (hawapo pichani) wakati wa ziara yake katika
Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi, 15,
2016 wa kwanza kulia ni Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw.Cassian
Chibogoyo.
Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa na Kuchapishwa kwa sheria ndogo ndogo za Bunge Mhe. William Ngeleja (katikati) akiwa katika ziara yake katika Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi, 15, 2016.
Mwenyekiti
wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa na Kuchapishwa kwa
sheria ndogo ndogo za Bunge Mhe. William Ngeleja akielezea umuhimu wa
kuhifadhi nyaraka za serikali wakati wa ziara yake katika Idara ya
Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi 15, 2016 wa
kwanza kulia ni Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw.Cassian Chibogoyo.
Mbunge
wa Manyoni Mashariki Mhe.Daniel Mtuka akiangalia moja ya kitabu
kilichochapishwa na Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri
Mkuu wakati wa ziara ya Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa kuandaa na
kuchapishwa kwa sheria ndogo ndogo za bunge, wa kwanza kulia ni Mkuu wa
Kitengo cha Uchapishaji Bi.Joyce Benjamin.
Katibu
Mkuu Sera na Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Hamis Mwinyimvua (wa
sita kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati
ndogo ya Sheria za Uratibu wa kuandaa na kuchapishwa kwa sheria ndogo
ndogo za Bunge pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Mpigachapa
Mkuu wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu, mara baada ya ziara ya kamati
hiyo Machi 15, 2016.
Mjumbe
wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa na Kuchapishwa kwa
sheria ndogo ndogo za bunge Mhe. Halima Mdee (mb) akichangia hoja wakati
wa kikao cha kamati hiyo katika Ukumbi wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa
Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi 15, 2016.
Katibu
Mkuu Sera na Uratibu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Hamis Mwinyimvua (kulia)
akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Sheria za Uratibu wa Kuandaa
na Kuchapishwa kwa sheria ndogo ndogo za bunge Mhe. William Ngeleja
wakati wa ziara ya kamati hiyo katika Idara ya Mpigachapa Mkuu wa
Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Machi 15, 2016.
SHARE
No comments:
Post a Comment