Kamanda
wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna, Simon Sirro,
akisisitiza jambo wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari Ofisini kwake Dar es Salaam jana mchana alipokuwa akitoa taarifa
ya matukio mbalimbali ya uhalifu pamoja na mchakato wa uhakiki wa
silaha.
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna, Simon Sirro,
akiwaonesha waandishi wa habari bunduki aina ya gobore walioikamata
kabla ya kutumika kwa ujambazi wakati akitoa taarifa ya matukio
mbalimbali ya uharifu pamoja na mchakato wa uhakiki wa silaha mkoani
humo jana mchana.
Kamanda
Sirro akionesha simu walizokutwa nazo watu wanaodaiwa vinara wa kupora
simu kwa kutumia pikipiki katika maeneo mbalimbali ya jijini.
Wapiga picha za vituo mbalimbali vya televisheni wakichukua taarifa hiyo.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment