TRA

TRA

Wednesday, May 18, 2016

SERIKALI YASHIRIKISHA VIJANA KUJADILI AFYA YA UZAZI NA VVU/UKIMWI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 
tac1
Mkurugenzi Mtendaji Tume ya Kudhibiti Ukimwi Bibi. Fatma Mrisho akifungua mkutano wa mwaka wa wadau wa masuala ya vijana kujadili masuala mbalimbali ya vijana jana Jijini Dar es Salaam
tac3
Baadhi ya vijana na wadau wa vijana akifuatilia kwa makini mada zilizokua zikiendelea wakati wa mkutano wa mwaka wa wadau wa masuala ya vijana kujadili masuala mbalimbali ya vijana jana Jijini Dar es Salaam
tac2
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Dkt. Abdallah Possi akizungumza na vijana na wadau wa vijana (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa mwaka wa wadau wa masuala ya vijana kujadili masuala mbalimbali ya vijana jana Jijini Dar es Salaam.
tac4
Mkurugenzi Mtendaji Tume ya Kudhibiti Ukimwi Bibi. Fatma Mrisho (kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Dkt. Abdallah Possi wakati wa mkutano wa mwaka wa wadau wa masuala ya vijana kujadili masuala mbalimbali ya vijana jana Jijini Dar es Salaam
tac5
Vijana wanaoishi kwa matumaini wakitoa nasaha kwa vijana wengine jinsi ya kujitunza na kufikia malengo waliyojiwekea wakati wa mkutano wa mwaka wa wadau wa masuala ya vijana kujadili masuala mbalimbali ya vijana jana Jijini Dar es Salaam
tac6
Balozi wa Kilimanjaro marathoni changia dola elfu tano kuondoa unyanyapaa, maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi na vifo vitokanavyo na ukimwi Bw. Mrisho Mpoto akiteta jambo na vijana jinsi ya kupambana na VVU jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa mwaka wa wadau wa masuala ya vijana kujadili masuala mbalimbali ya vijana.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger