TRA

TRA

Tuesday, July 5, 2016

AIRTEL YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mwishoni mwa wiki imeshiriki na wafanyakazi wake katika kufutu wakati huu wa msimu wa Ramadhani. 
Airtel imekuwa na mpango huo wenye lengo la kuungana na wafanyakazi wao waislamu katika mwezi huu mtufuku kila mwaka. 

Mbali na kufuturisha wafanyakazi kampuni ya simu ya Airtel kwa mwaka huu pia imefikia watoto zaidi ya 500 kutoka katika vituo vya kulelea watoto walio katika mazingira magumu nchini  katika mikoa ya Arusha, Dar, Mbeya, Mwanza, Dodoma. 

lengo likiwa ni dhamira yetu ni kuendelea kugusa maisha ya watoto hawa na kuwafanya wajisikia kuwa sehemu ya familia ya Airtel”.
 Mkurugenzi wa Airtel Bwn Sunil Colasso akiwa na baadhi  ya wafanyakazi kabla ya kushiriki futari iliyoandaliwa na Airtel kwaajili ya wafanyakazi wake.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakishiriki katika futari iliyoandaliwa katika ofisi za Airtel Makao Makuu Morocco jijini Dar es Saalam
Wafanyakazi wa Airtel wakishirikia katika futari iliyoandaliwa katika ofisi za Airtel Makao Makuu Morocco jijini Dar es Saalam
 Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakishirikia katika futari iliyoandaliwa katika ofisi za Airtel Makao Makuu Morocco jijini Dar es Saalam
Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakishiriki katika futari iliyoandaliwa katika ofisi za Airtel Makao Makuu Morocco jijini Dar es Saalam

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger