Meneja wa Bia ya Tusker Jasper Migambile akitoa ufafanuzi wa jambo
wakati wa droo ya mwisho ya Milioni 100 na Tusker Fanya Kweli Uwini
iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Bia ya Tusker Jasper Migambile(kushoto) akiongea kwa njia ya
simu na mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya Tusker Fanya Kweli Uwini
wakati wa droo hiyo, kushoto kwake ni mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya
Kubahatisha nchini Emmanuel Ndaki akihakiki taarifa za mshindi na kulia
ni mshindi wa kwanza wa promosheni hiyo Michael Mwinuka akifwatilia kwa
makini.
Mshindi wa kwanza wa promosheni ya Tusker Fanya Kweli Uwini Michael
Mwinuka(kulia) akichanganya vocha wakati wa droo ya mwisho ya promosheni
hiyo huku akishuhudiwa na Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
nchini Emmanuel Ndaki pamoja na Meneja wa Bia ya Tusker Jasper
Migambile(kushoto) pamoja na Meneja wa Bia ya Tusker Jasper
Migambile(kushoto)
Mshindi wa kwanza wa promosheni ya Tusker Fanya Kweli Uwini Michael
Mwinuka(kulia) akimkabidhi vocha yenye jina la mshindi Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
nchini Emmanuel Ndaki wakati wa droo ya mwisho iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Kampuni
ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Tusker mwishoni mwa wiki
iliyopita imechezesha droo ya 9 na ya mwisho ya promosheni ya Milioni
100 na Tusker Fanya Kweli Uwini. Droo hiyo iliyofanyika katika studio za
ITV inakamilisha washindi 100 wa promosheni hiyo ambao wamepata Tsh
1,00,000 kila mmoja na kukamilisha jumla ya Tsh 100,000,000 iliyoahidiwa
na kampuni hiyo kwa watumiaji wa bia ya Tusker.
Droo ya mwisho ya Milioni 100 na Tusker Fanya Kweli Uwini ilikua ya namna yake kwani ilichezeshwa na moja ya washindi waliopita wa promosheni hiyo ambaye alijishindia Milioni moja katika droo ya kwanza ya promosheni na kushuhudiwa na wakaguzi wa mahesabu na maofisa kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha nchini.

Washindi
wafuatao walitangazwa kuwa washindi wa droo ya tisa ya Tusker Fanya
Kweli Uwini - Jane Mchaki na Lilian Mateme kutoka Kilimanjaro,
Ramadhani Mwagace kutoka Iringa, Angelo Caruso kutoka Morogoro, Nyango
J. Nyango kutoka Mwanza, Kasmiry Membe kutoka Tabora, Tina John, Mpate
Mpate, Gerard Kaganda pamoja na Liberatus Massawe kutoka Dar es Salaam.
Akizingumza wakati wa droo hiyo Meneja wa Bia ya Tusker Jasper Migambile alisema kuwa, “Tumekamilisha washindi 100 na tayari tumeshatoa Tsh 100,000,000 kwa wateja wetu na washindi wa promosheni ya Tusker Fanya Kweli Uwini tuliyoiendesha kwa muda wa wiki kumi.

Promosheni
iliyokua imejaa fursa kwa wateja wetu, tunaamini umebadili maisha ya
wengi kupitia hii promosheni hivyo ni dhahiri kuwa tumefanikiwa kwa
kiwango kikubwa kufikia malengo yetu kwani tumekuwa na washindi ambao
walitumia pesa tuliyowapa katika biashara, kulipa ada za shule, ujenzi
na mengine mengi ya kimaendeleo. Tumemaliza rasmi droo na kutoa Milioni
moja kwa washindi lakini bado bia kibao za bure zitakua sokoni kwaajili
ya wateja wetu na watumiaji waTusker.”
Pia alitoa shukrani kwa niaba ya Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa wadau wote waliofanikisha droo zote tisa na promosheni yote kwa ujumla. “Kwa namna ya pekee kabisa napenda kuwashukuru wana habari kwa mchango wao mkubwa kuwataarifu watanzania na wateja wetu yote yanayojiri katika promosheni hii, mmekua daraja kati yetu na wateja wetu hivyo tunashukuru sana.

Pia
sitakua na fadhila nisipowashukuru watu hawa muhimu na mihimili ya droo
zetu zote Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini na wakaguzi wa
mahesabu, wamefanya kazi ya kikamilifu na ndio maana leo tunahitimisha
droo ya mwisho chini ya uangalizi wao” aliongeza Jasper.
Siku zote droo za promosheni hiyo huchezeshwa na muwakilishi kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti lakini hii ilikua kinyume ambapo mshindi wa kwanza wa promosheni hiyo ndiye aliyechezesha droo hiyo na kuokota majina kumi ya mwisho. “Mimi nilishinda katika droo ya kwanza ya promosheni hii na kujishindia Milioni moja iliyonisaidia sana kulipa ada za shule kwa watoto wangu, ilikuja wakati muafaka kabisa muda wa watoto kufungua shule baada ya likizo ya mwezi Juni.

Naye mkaguzi kutoka Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Emmanuel Ndaki alitoa tamthmini yake juu ya promosheni hiyo mara baada ya droo ya mwisho kumalizika, “niwapongeze sana Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia ya Tusker kwa kufuata vigezo vilivyowekwa na bodi kwa kuendesha promosheni ya Milioni 100 na Tusker Fanya Kweli Uwini kikamilifu”.
‘Tusker Fanya Kweli Uwini’ ni promosheni iliyoanza takribani wiki tisa zilizopita mikoa yote nchini na leo imekamilisha washin
SHARE
No comments:
Post a Comment