
Mkuu wa
Polisi wilaya ya Arusha (SSP) Emmanuel Tille akiongea na viongozi wa
kata ya Moivaro tarafa ya Suye pamoja na askari wa vikundi vya ulinzi
shirikishi wakati wa uzinduzi wa vikundi vinne vya kata hiyo.

Diwani wa
kata ya Moivaro Rick Moiro akiongea na askari wa vikundi vya ulinzi
shirikishi toka kwenye baadhi ya mitaa ya kata yake mara baada ya
uzinduzi wa vikundi hivyo.

Mkuu wa
Polisi wilaya ya Arusha (SSP) Emmanuel Tille akiwakagua askari wa
vikundi vya ulinzi shirikishi kutoka mitaa ya Ngurumausi, Oldonyommasi,
Moivaro Kati na Shangarao.

Baadhi ya
viongozi wa kata ya Moivaro pamoja na askari wa vikundi vipya vya
ulinzi shirikishi wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Polisi wilaya ya
Arusha (SSP) Emmanuel Tille hayupo pichani.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment