Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana
jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikhe Aboubakar Zubeir wakati
alipowasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid El
fitri lililofanyika katika viwanja hivyo.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Sheikhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum mara baada ya
kuwasili.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuwasili katika
viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid Elfitri.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na Waziri Mkuu Kassim
majaliwa wakati walipokuwa wakisiliza ujumbe wa Kaswida katika baraza
la Eid Elfitri.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana
jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Baraza la Eid Elfitri.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment