Wafanyakazi
wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwa katika picha ya pamoja
mara baada ya kufika katika ufukwe wa Milenium Bagamoyo Mkoani Pwani
mwishoni wa wiki, Wafanyakazi hao ikiwa ni utamaduni wao wa kila mwaka
kutembelea sehemu mbalimbali kwaajili ya kufurahi pamoja, kujenga
mahusiano mazuri wakati wa kazi pamoja na kunywa na kula pamoja.
Akizungumza
na Globu ya Jamii, Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen
Killango amesema kuwa wameamua kupumzika pamoja, kula na kunjwa pamoja
mwishoni mwa wiki kwaajili ya kujenga mahusiano mazuri wakati wa kazi
ikiwa ni siku mhimu sana kwao ambayo hufanyika kila mwaka.
Katika
Mapumziko hayo ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City
walikuwa na michezo mbalimbali ambayo walishiriki kama Mpira wa Mikuu
kwa wote, Kuvuta Kamba, kukimbia na ndimu kwenye vijiko, Mpira wa
wavu(Voleball) na kukimbia na Magunia.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwasili katika ufukwe wa Mileniam Bagamoyo Mkoani Pwani.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakipasha kwaajili ya kuanza kucheza Mpia wa Miguu.
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City mashindano wa timu mili za
wafanyakazi hao zilipoanza kufuana katika mchezo uliochezwa mchangani
katika fukwe za Milenium Bagamoyo Mkoani Pwani mwishoni mwa wiki.
Mtanange wa Mchangani ukiendelea kati ya Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.
Mpira kati pale.
Kabumbu mchangani likisongeshwa na Refa Meneja uhusiano wa wateja binafsi, Stephen Makundi(Kulia aliyesimama)
Mfanyakazi Mlimani City na Kipa akishangilia baada ya Mpira kupigwa juu baada ya kukosa gori la timu Pinzani.
Mcezo ukiendelea.
Wakishangilia ushindi.
Mhhhh mchezo wa mpira ukienda sawia...
Maandalizi ya Mchezo wa Kamba.
Mchezo wa Kamba ukiendelea kati ya timu A na B ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.
Hapa ni Vuta ni kuvute.
Hapa ni Kuvuta tuuuuuu.....
Maandalizi ya Mchezo wa Kukimbia huku umevaa gunia.
Hapa mwendo wa kukimbi huku wenginemwingine akiishiwa pozi la kukimbia na kugusa mchanga kwa viwiko vya mikono.
Wadada wakiwa tayari kwa kukimbia na magunia.
Mashindano ya kukimbia na magunia yakiendelea.
Maandalizi ya Mchezo wa Kukimbia na mdimu kwenye kijiko.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakikimbia na ndimu kwenye kijiko na kijiko kikiwa mdomoni.
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wa Timu A na B wakicheza mcheo wa
Mpira wa wavu katika Fukwe za Milenium Bagamoyo Mkoani Pwani.
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwa katika picha ya Pmaja mara
baada ya kuogelea na wengine kugusa maji ya bahari.
Mameneja
wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwa katika picha ya pamoja
mara baada ya kumaliza michezo mbalimbali katika Fukwe ya Milenium
Bagamoyo Mkoani Pwani.
SHARE
No comments:
Post a Comment