Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa
(mwenye tai nyekundu) akipata maelekezo toka kwa mtaalamu wa michoro wa
kampuni ya Kiluwa Steel Group Ltd. wakati Waziri Mkuu alipotembela
kiwanda hicho mapema jana Kibaha, mkoani Pwani.
Mkurgenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Nondo na bidhaa za chuma cha Kiluwa Steel Group
Ltd. akitoa maelekezo kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu)wakati
Waziri Mkuu alipokitembelea kiwanda hicho mapema jana Kibaha Mkoani
Pwani.Picha zote na Eliphace Marwa -Maelezo.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa
(mwenye tai nyekundu) akisalimiana na Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage mara tu Waziri Mkuu alipowasili katika
kiwanda cha nondo na bidhaa za vyuma cha Kiluwa Steel Group
Ltd.kinachoendelea na ujenzi Kibaha Mkoani Pwani mapema jana.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment