TRA

TRA

Monday, August 22, 2016

ANC chabwagwa uchaguzi wa Meya Johannesburg Afrika

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Democratic Alliance kwa sasa kinashikilia baadhi ya miji mikubwa nchini humo
Democratic Alliance kwa sasa kinashikilia baadhi ya miji mikubwa nchini humo
Chama tawala nchini Afrika kusini ANC kimepoteza udhibiti katika jiji la Johannesburg ambapo meya mpya wa jiji hilo Herman Mashamba anatoka chama cha upinzani cha Democratic Alliance.
Chama cha ANC kipo madarakani tangu kipindi cha ubaguzi wa rangi nchini humo zaidi ya miaka 20.
Mashamba ameahidi kubadilisha utawala wa jiji.
ANC ilipoteza majimbo mengi katika uchaguzi wa mwezi uliopita lakini bado ni chama kikubwa na kikongwe nchini humo.BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger