
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam jana Agosti 24, 2016

Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa
Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba akila kiapo
cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam jana Agosti
24, 2016
Kushoto akisimamia zoezi hilp ni Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda.

Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia
Suluhu Hassan pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na
Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe
George Masaju na Katibu Mkuu kiongozi Engineer John Kijazi katika picha
ya pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya
kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus
Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam jana Agosti 24, 2016

Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli katika picha ya pamoja na
viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuapishwa
kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis
Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam jana Agosti 24, 2016
PICHA NA IKULU (P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment