
Waliamini
ndio iliyochangia watolewe kwenye mashindano. Pichani ni World Cup ya
1998, David Beckham akipigwa red card kwenye mechi ya fainali za kupata 8
bora. Ilikuwa ni kwenye mechi na Argentina, matokeo yalikuwa 2-2.
Kumbukumbu ya maktaba: http://mjengwablog.com(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment