Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akibadilishana mawasiliano na Balozi wa
Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (kulia) alipomtembelea ofisini
kwake jana.
Balozi wa
Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) akifurahia
jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani)
alipomtembelea ofisini kwake jana.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia)
alipomtembelea ofisini kwake Jana.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment