Rais
Mstaafu wa awamu ya Pili AlhajAli Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu ya
nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani
Abeid Karume wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais
Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe.
Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt
John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar
Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt
John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu
katika ukumbi wa Ikulu kwa dhifa hiyo ya kitaifa aliyomwandalia mgeni
wake Ikulu jijini Dar es salaam.
Meza kuu ikiwa imesimama kwa Wimbo wa Taifa
Rais Dkt Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia kusalimiana na viongozi mbalimbali
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment