Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akiwakabidhi msaada wa vyakula watoto wa Kijiji cha Matumaini, kilichopo
eneo la Kisasa Dodoma mjini alipotembelea kituo hicho kuwafariki watoto
yatima, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, ambayo
kilele chake ni kesho. Kushoto ni mwanzilishi wa Kijiji hicho Padre
Vincent Boseil
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akiwa na watoto wanaolelewa katika Kijiji cha Matumaini, kilichopo eneo
la Kisasa Dodoma mjini alipotembelea kituo hicho kuwafariki watoto
yatima, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, ambayo
kilele chake ni kesho. Kulia ni mmoja wa waanzilishi wa kituo hicho
Sista Roselie
SHARE
No comments:
Post a Comment