Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,
Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiongea katika uzinduzi wa
Bodi ya Mfuko wa Taifa wa dhamana ya Hifadhi ya Mazingira. Bodi hiyo iko
chini ya Uenyekiti wa Bw Ali A. Mafuruki. Uzinduzi huo umefanyika
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,
Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwakaribisha wajumbe wa
Bodi ya Mfuko wa Taifa wa dhamana ya Hifadhi ya Mazingira (hawapo
pichani), kulia ni Bw. Ali Mufuruki Mwenyekiti wa Bodi.
SHARE
No comments:
Post a Comment