Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya
nchini, Rogers Sianga, wakati Kamishna huyo alipomtembelea ofisini
kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala
mbalimbali ya dawa za kulenya nchini.
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia) akimuaga Kamishna Mkuu
wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers
Sianga, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa
Waziri huyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
SHARE
No comments:
Post a Comment