RAIS Dk John Magufuli amewaambia wamiliki wa vyombo vya habari wasifikiri "wana uhuru" wa kufanya watakavyo.
 
Alitoa onyo kwa vyombo vya habari nchini humo kwa madai vinaandika habari zisizo za kizalendo.