Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
ameonana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika
Berak ambaye aliongozana na Mshauri wa Uchumi wa Ubalozi wa Ufaransa
Bi. Beatrice Alperte, Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Mhe.
Malika Berak alipokuwa akifanya mazungumzo nae mapema leo , Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimsikiliza Mshauri wa Uchumi wa Ubalozi wa Ufaransa Bi.
Beatrice Alperte, Ikulu jijini Dar es salaam. alipokuwa akifanua jambo
mapema leo , Ikulu jijini Dar es salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment