From
 #jokatemwegelo -  Wiki iliyopita nilialikwa kuhudhuria shughuli za NBA 
Afrika katika NBA All Star Weekend- weekend inayojumuisha wachezaji top (
 creme de la creme ) wa kwenye ligi ya NBA ya Marekani, ambapo katika 
hiyo weekend siku ya Jumamosi tukazindua NBA Afrika Game ya 2017. 
Nilipata
 mualiko huo kutokana na juhudi zangu binafsi za ujenzi wa kiwanja cha 
mchezo pale Jangwani Secondary. Na lengo ni kujenga viwanja vingi na 
kufanya vitu vingi vya kuboresha maeneo ya mashule ya umma. Tutengeneze 
watoto na vijana wenye uweledi, kujitambua na ujasiri.
  SHARE 
  









No comments:
Post a Comment