Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Susan Kolimba akipokea Nakala za
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam nchini, Mhe.
Nguyen Kim Doanh. Tukio hilo limefanyika Wizarani tarehe 30 Machi, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment