TRA

TRA

Saturday, March 4, 2017

Programu za mazingira zakabiliwa na hatari katika bajeti ya Trump

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Kulingana na muswada wa pendekezo la bajeti ya shirika la ulinzi wa mazingira la Marekani EPA, utawala wa rais Donald Trump utapunguza programu zinazonuwia kupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi na kuboresha usalama wa maji na ubora wa hewa. Ufadhili wa shirika hilo utapunguzwa kwa karibu asilimia 25 na karibu watu 3000 watapoteza ajira zao. Shirika hilo la ulinzi wa mazingira EPA, linaongozwa kwa sasa na Scott Pruitt, aliyehoji muafaka wa kisayansi kwamba shughuli za kibinadamu zinachangia kuongezeka kwa joto la dunia. Trump anapanga kuwasilisha bajeti yake kwa bungeni tarehe 13 mwezi Machi.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger