TRA

TRA

Saturday, March 4, 2017

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington tarehe 14 mwezi huu wa Machi. Taarifa za kina juu ya mkutano huo bado hazijatolewa, lakini utafanyika baada ya Trump kuikosoa sera ya kiliberali ya Merkel kuhusu wakimbizi, ambayo ilipelekea zaidi ya waomba hifadhi milioni moja kuingia nchini Ujerumani tangu mwaka 2015. Merkel kwa upande mwingine, amekuwa akimkosoa Trump, alimkumbusha juu ya maadili ya kidemokrasia wakati wa mazungumzo yao kwa njia ya simu baada ya kuchaguliwa kwake mwaka uliopita. Hii ndiyo itakuwa mara ya kwanza kwa kansela Merkel kukutana na Trump akiwa rais.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger