TRA

TRA

Saturday, March 4, 2017

Rafu iliyomfanya Fernando Torres achukuliwe na Ambulance uwanjani

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Staa wa soka wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Atletico Madrid, Fernando Torres usiku wa March 2, 2017 alishtua mashabiki wa soka na wachezaji wenzake kufuatia kupata jeraha kichwani na kufanya kila mchezaji aliyepo uwanjani kushtuka na jeraha hilo.
Torres, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Atletico Madrid kilichocheza na Deportivo la Coruna katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1, alilazimika kukimbizwa hospitali na ambulance kufuatia kuumia kichwani na kupoteza fahamu baada ya kugongwa na Alex Bergantinos dakika ya 85.
Taarifa kutoka Hospitali ambayo staa huyo wa zamani wa Liverpool na Chelsea aliyezichezea timu hizo kwa nyakati mbili tofauti, amepata fahamu na Atletico wameripoti kuwa atakuwa katika uangalizi wa daktari kwa usiku wote huu.


Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger