Urusi na China zimepinga kuiwekea Syria vikwazo vya
Umoja wa Mataifa kupitia kura ya turufu. Urusi imesema hakuna ushahidi
wa kutosha wa kufanya hivyo. Marekani imelaani vikali hatua hiyo ya
Urusi na China.
Uchunguzi wa pamoja kati ya Umoja wa Mataifa pamoja na shirika la
kufuatilia utumiaji wa silaha za kemikali umedhihirisha kuwa, serikali
ya Syria ilifanya mashambuluzi matatu ya kutumia gesi ya klorini na
wanamgambo wa kundi linalojiita Dola la Kiislam IS wamefanya shambulio
moja la kutumia gesi ya haradali. Balozi wa Marekani kwa umoja huo,
Nikki Haley, amezituhumu nchi zote mbili kwa kushindwa kuiwajibisha
serikali ya Rais wa Syria Bashar al-Asaad kwa kutumia silaha za kemikali
hata baada ya uchunguzi kuthibitisha."Uchunguzi uliofanywa hauna tatizo lolote. Urusi haitaki tu kuukosoa utawala wa Assad kwa kosa la kutumia silaha za kemikali. Huo ndiyo ukweli. Kwa hiyo ujumbe gani tunauonesha ulimwengu? Ukiwa mshirika wa China na Urusi watawatetea marafiki zao hata ambao wanatumia silaha za kemikali kuua raia wao wenyewe. Wengine wanasema kuwa tunapaswa kuzingatia zaidi juu ya IS. Marekani inalaani matumizi yoyote ya silaha za kemikali, iwe kundi la au mtu mwingine yoyote," amesema Nikki Haley.
Rasimu ya azimio hilo ilikuwa na nia ya kupiga marufuku biashara ya helikopta kwa serikali ya Syria, na ingewawekea vikwazo vya kiuchumi pamoja na usafiri baadhi ya maafisa wa kijeshi na wa serikali ya Syria.
Azimio hilo limeandaliwa baada ya uchunguzi wa kina uliofanywa na Shirika linalopiga marufuku matumizi ya silaha za kemikali (OPCW). Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa vikosi vya serikali ya Syria vilitumia helikopta kutupa mabomu ya mapipa yenye gesi ya klorin.
Nchi tisa ziliunga mkono kwa kulipigia kura azimio hilo la Braza la Usala lililowasilishwa na Uingereza, Ufaransa, na Marekani. Nchi tatu zimelipinga azimio hilo ikiwa ni pamoja na Urusi, China na Bolivia. Kazakhstan, Ethiopia na Misri hazikupiga kura kabisa.
Ili azimio la Umoja wa Mataifa lipitishwe katika baraza la Usalama, kwa kawaida linahitaji kura tisa za kuliunga mkono bila ya kupingwa na nchi zenye uwezo wa kutumia kura ya turufu ambazo ni Marekani, Ufaransa, Urusi, Uingereza na China.
Syria kwa upande wake imekana kuhusika na utumiaji wa gesi ya kemikali dhidi ya watu wake. Naibu balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa Mounzer Mounzer ameliambia Baraza la Usalama la umoja huo kuwa serikali ya Syria inapinga utumiaji wa silaha za maangamizi.
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU
VIFUNGASHIO VYA POMBE KALI – VOROBA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.
January Mamkamba. (MB) akitoa Taarifa kwa Umma kuhusu marufuku ya
uzalishaji, uingizaji , usambazaji,na matumizi ya vifungashio vya
plastiki maarufu kama viroba vinavyotumika kufungashia pombe kali,
alipozungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli
Jijini Dare es Salaam Leo.
Katikati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. January Makamba. (MB) akitoa Taarifa kwa Umma kuhusu marufuku ya

plastiki maarufu kama viroba vinavyotumika kufungashia pombe kali, kulia
ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Profesa Faustin Kamuzora na Kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira, Waziri Makamba alizungumza na
waandishi wa habari Ofisini kwake mtaa wa Luthuli Jijini Dare es Salaam
Leo.
Amazing Offers: http://bit.ly/cheap_gadgets

Home
Post
Magazeti
Makala
Matangazo
4x4
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIFUNGASHIO VYA POMBE KALI – VOROBA

Jijini Dare es Salaam Leo. Katikati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba. (MB) akitoa Taarifa kwa
Umma kuhusu marufuku ya uzalishaji, uingizaji...

SHARE
No comments:
Post a Comment