Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali(hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kueleza mipango mbalimbali ya jeshi hilo ikiwemo uzinduzi wa klabu katika shule za sekondari nchini, zitakazotoa elimu ya uzimaji moto kwa wanafunzi.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari(Maelezo),jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Afisa Habari Mwandamizi, Casmir Ndambalilo.
SHARE
No comments:
Post a Comment