Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. AP. Makakala akieleza jambo kwa Mufti Mkuu wa
Tanzania , Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, alipomtembelea Mufti
Ofisini kwake Kinondoni jana asubuhi. 
Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. A.P. Makakala akisaini kitabu cha wageni mara
baada ya kuwasili Ofisini kwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary
Zubeiry bin Ally, jana asubuhi Makao Makuu ya BAKWATA, Kinondoni, Dar es
Salaam. Katikati ni Mshauri wa Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar
Khalid. 
Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. A.P. Makakalla akiwa katika picha ya pamoja
na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, pamoja na
baadhi ya Masheikh na Maafisa wa Ofisi ya Mufti jana asubuhi Makao Makuu
ya BAKWATA, Kinondoni, Dar es Salaam
SHARE









No comments:
Post a Comment