Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Airtel Tanzania, Patrick Foya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan, waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam jana.
Ofisa Huduma kwa Wateja wa Airtel Tanzania, Stephen Makongoro akifafanua jambo
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao
makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Franky Filman akizungumza
na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika
makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam jana.
Maofisa wa Airtel wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Shule
ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel
eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam jana.
SHARE
No comments:
Post a Comment