Waziri wa
Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mbunge wa Viti
Maalum, Upendo Pendeza kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA
NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri wa Maji
na Umwagiliaji Mhe.Eng ,Gerson Lwenge akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.(PICHA NA
DAUDI
MANONGI-MAELEZO)
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ipala ya Mkoani Dodoma wakiwa Bungeni kwa
ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali za Bunge katika
kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 10, 2017.
(PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee akiuliza
swali katika kikao cha Ishirini na moja
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Wabunge
wakifuatilia hoja mbalimbali katika kipindi cha maswali na majibu katika kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI
MANONGI-MAELEZO)
Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani
Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe akiwa na Waziri kivuli wa Maji na
Umwagiliaji Mhe.Hamidu Bobali wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe.Greyson Lwenge katika
kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Mhe.Eng,Stella Manyanya akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge katika kikao
cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
10, 2017. (PICHA NA
DAUDI
MANONGI-MAELEZO)
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi,
Hamad Masauni, bungeni mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri wa
Maji, Mhandisi Gerson Lwenge akwasilisha Makadiro ya Matumizi ya Wizara
hiyo kwa mwaka 2017/18, bungeni mjini Dodoma, Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama akifurahia jambo na Naibu Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi, Hamad Masauni na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega bungeni
mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
TAMISEMI, George Simbachawene kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Mei 10,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa aizungumza na wabunge, Kange Lugora wa Mwibara (kushoto)
na Katani Ahmed Katani wa Tandahimba (katikati) kwenye viwanja vya bunge
mjini Dodoma Mei 10,2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Geita, Joseph Kasheku
Musukuma (katikati) na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi
kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Mwanne Mchemba
(kushoto) na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kwenye viwanja vya bunge
mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mtwara Vijijini Hawa Ghasia kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Makambako (CCM) Mhe.Deo Sanga
akiuliza swali katika kikao cha Ishirini
na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA
DAUDI MANONGI-MAELEZO)
|
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. (PICHA NA DAUDI
MANONGI-MAELEZO)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar)
Salum Mwalimu kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
SHARE
No comments:
Post a Comment