Mbunge wa Nzega
Mjini(CCM) Mhe.Hussein Bashe akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Mhe.Zitto Kabwe katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Washiriki wa
Shindano la Miss Udom wakiwa Bungeni Kujifunza shughuli mbalimbali zinazoendelea
katika kikao cha Ishirini na tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017. (PICHA ZOTE NA DAUDI MANONGI- MAELEZO)
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa
Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiongea jambo na Mbunge
wa Rombo(CHADEMA) Mhe.Joseph Selasini katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Mbunge wa Viti
Maalum(CCM) Mhe.Neema Mgaya akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Wabunge wakifuatilia
hoja mbalimbali katika kikao cha
Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12,
2017.
Mbunge wa
Kibamba(CHADEMA)Mhe.John Mnyika akiuliza swali
katika kikao cha Ishirini na tatu
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa
Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akijibu hoja Mbalimbali
za Wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu Waziri wa
Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula akijibu hoja Mbalimbali
za Wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akizungumza jambo na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri wa
Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akizungumza jambo na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista
Mhagama katika kikao cha Ishirini na
moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri wa Maji
Mhe.Eng Gerson Lwenge akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akizungumza jambo na Naibu Waziri
wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabula.
Mbunge wa Viti
Maalum(CCM) Mhe.Martha Jachi Ombula akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
7024:
Waziri wa
Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Mwenyekiti wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nishati
na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment