Kamati ya kampeni
ya mmoja wa mgombea wa urais nchini Ufaransa, Emmanuel Macron, imesema
kuwa imevamiwa vikali na makundi ya udukuzi ambayo yamechapisha habari
muhimu ya kundi lao katika mitandao ya kijamii.
Mgombea wa urais nchini Ufaransa Emmanuel Macron amedai kwamba wadukuzi waliidukua kampeni yake
Chama cha Bwana Macron kijulikanacho nchini kama "En Marche" kilisema kuwa wachapishaji wa habari hizo zilizovurugwa wana nia ya kuvuruga demokrasia kabla ya uchaguzi wa marudio ya hapo kesho.
Mpinzani mkuu wa Macron katika uchaguzi wa Urais nchini Ufaransa Marine Le Pen
Tume ya Uchaguzi nchini Ufaransa inatarajiwa kuongoza mkutano wa dharura baadaye hii leo kujadili madai hayo ya udukuzi.
SHARE
No comments:
Post a Comment