Amir
Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpongeza Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro mara
baada ya kumuapisha Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
Kamshina
Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro akila kiapo cha maadili ya
utumishi wa Umma mara baada ya kumuapisha na Rais Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa IGP Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro akisaini hati ya kiapo cha maadili ya utumishi wa Umma mara baada ya kuapishwa
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu
akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule, Kamishna Jenerali wa Jeshi
la polisi nchini Simon Sirro mara baada ya kuapishwa Mei 29,2017 Ikulu
jijini Dar es salaam
Amir
jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Hassani Suluhu, Waziri wa mambo ya
ndani Mwigulu Nchema,Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Jaji Prof. Ibrahim
Hamis Juma, Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule Simon Sirro, aliyekuwa Mkuu
wa Jeshi la Polisi Erenest Mango, katibu Mkuu kiongozi Balozi John
Kijazi, pamoja na Mkambishna mbalimbali wa Wizara ya mambo ya ndani
katika picha ya pamoja
Amir
jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule Simon
Sirro na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Ernest Mangu
Amir
jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika akisalimiana na aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi
Ernest Mangu
Amir
jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimia na makamanda mbalimbali wa polisi na Jeshi la
wananchi wa tanzania mara baada ya kumuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi
Mteule Simon Sirro Ikulu jijini Dar es salaam
SHARE
No comments:
Post a Comment