TRA

TRA

Tuesday, May 16, 2017

TANZANIA NA CHINA ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUUZA BIDHAA ZA MUHOGO

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano,Mhe.Prof Makame Mbarawa (Wa tatu kushoto waliosimama) akishuhudia Utiaji saini mkataba wa kuuza China bidhaa za muhogo kutoka Tanzania Mkataba huo umesainiwa leo mjini Beijing Jamhuri ya watu wa China kati ya Balozi wa Tanzania nchini China Mhe.Balozi Mbelwa Kairuki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Li Yuanping Naibu Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya udhibiti na ukaguzi wa mazao kwa niaba ya Serikali ya jamhuri ya China Mhe.Mbarawa yupo mjini Beijing ambapo aliwakilisha serikali ya Tanzania kwenye mkutano wa One belt one Roads Forum.

Balozi wa Tanzania nchini China, Balozi Mbelwa Kairuki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Li Yuanping Naibu mkurugenzi mkuu wa taasisi ya udhibiti na ukaguzi wa mazao kwa niaba ya Serikali ya jamhuri ya China wakitia saini mkataba wa kuuza China bidhaa za muhogo kutoka Tanzania .
Balozi wa Tanzania nchini China Mhe.Balozi Mbelwa Kairuki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipeana mkono na Naibu Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya udhibiti na ukaguzi wa mazao, Li Yuanping kwa niaba ya Serikali ya jamhuri ya China mara baada ya kutiasaini mkataba wa kuuza China bidhaa za muhogo kutoka Tanzania .

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger