
Staa
wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ‘Darassa’ akifanya makamuzi Idd Mosi
Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakheem jijini Dar
usiku wa kuamkia leo. 

Darassa akisalimiana na mashabiki wake kabla ya kuanza shoo.

Darassa akifanya makamuzi.

Mashabiki wakipagawa na ngoma mpya ya muziki
(PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)
SHARE








No comments:
Post a Comment