TRA

TRA

Wednesday, June 14, 2017

DIRECT PAY ONLINE GROUP [DPO] BECOMES KILIFAIR 2017 PLATINUM SPONSOR

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


unnamed
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akikaribishwa na Mkuu wa Masoko wa kampuni ya Direct Pay Online, Kate Gathii (kushoto) alipotembelea banda la kampuni hiyo ambao ni platnimu sponsor wa maonesho ya Utalii na Viwanda ya Kili Fair yaliyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi kuanzia tarehe 2 June. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo,Eran Feinsten,wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na Mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi Warioba.
1
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Direct Pay Online Group,Eran Feinsten (kushoto) akionesha namna wanavyotumia mfumo wa mawasiliano kutuma na kupokea fedha katika banda la kampuni hiyo katika maonesho ya Utalii na Viwanda ya Kili Fair yalioyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi kuanzia tarehe 2 mpaka tarehe 4 Juni. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB)Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na Mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi Warioba.
2
Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza na maafisa wa kampuni ya Direct Pay Online, Kate Gathii (kushoto) ambaye ni Mkuu wa Masoko na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Eran Feinsten (wa pili kushoto) alipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonesho ya Utalii na Viwanda ya Kili Fair yaliyofanyika uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi kuanzia tarehe 2 Juni, wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na Mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi Warioba
3
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Direct Pay Online Group, Eran Feinsten (kushoto) jinsi wanavyotumia mfumo wa mawasiliano kutuma na kupokea fedha katika banda la kampuni hiyo katika maonesho ya Utalii na Viwanda ya Kili Fair yaliyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi katikati ni Mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi Warioba.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger