Naibu
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dk Hamisi
Kigwangalla akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tano wa
Madaktari uliofanyika katika ukumbi wa Kisenga Makumbusho jijini Dar es
Salaam .
Sehemu
ya madaktari na wanasayansi walioshiriki mkutano huo ambao unajadili
masuala mbalimbali ya tiba katika bara la Afrika na hapa nchini
Naibu
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dk Hamisi
Kigwangalla akikagua maonyesho ya Dawa yaliyopo nje ya mkutano huo
Sehemu
ya madaktari na Wanasayansi walioshiriki mkutano huo ambao unajadili
masula mbalimbali ya tiba katika bara la afrika na hapa nchini
Naibu
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dk Hamisi
Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu na
washirika wa Maendeleo nchini
SHARE
No comments:
Post a Comment