Mkuu
wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa akimshukuru Bw. Hamodu H. Mvungi
mara baada ya kushiriki katika futari hiyo pamoja na wageni mbalimbali
waliohudhuria.
Bw.
Hamidu H. Mvungi miliki wa kijiji cha Hamidu City Park, Mikwambe Kibada
Kigamboni chenye nyumba 1500 akizungumza na wageni waalikwa mbalimbali
waliohudhuria katika futari aliyowaandalia wageni wake wakiongozwa na
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mh .Hashim Mgandilwa ambapo aliwashukuru
wageni waalikwa hao kwa kujumuika naye katika futari hiyo katika mwezi
huu mtukufu wa Ramadhan, huku akiwatambulisha makazi hayo yenye nyumba
za kuuza ambapo ameshirikiana na mabenki mbalimbali na kukopesha kwa
watu wanaohitaji nyumba katika kijiji hicho.
Mtangazaji
wa Chanel Ten na MC wa Shughuli hiyo ya Futari Bw. Albert Kilala
akikaribisha wageni mbalimbali waliohudhuria katika futari hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa na Mwenyeji wake Bw. Hamidu Mvungi wakiongoza wageni waalikwa katika futari hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika futari hiyo wakichukua chakula.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa katikati , Mwenyeji wake Bw. Hamidu Mvungi pamoja na wageni wake wakipata futari.
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Kigamboni, Rahel Mhando pamoja na wageni mbalimbali
waalikwa wakishiriki katika futari hiyo iliyoandaliwa na Bw. Hamidu
Mvungi nyumbano kwake Kigamboni.
Baadhi ya wageni mbalimbali walioshiriki katika futari hiyo.
Bw. Hamidu Mvungi na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mh. Hashim Mgandilwa wakiwa katika picha ya pamoja.
Bw. Hamidu Mvungi na Mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni wao.
SHARE
No comments:
Post a Comment