 |
Naibu waziri wa
Afya Dk KHamis Kigwangala kushoto akiwa na wabunge mbalimbali
wakiongozwa na wabunge wa mkoa wa Iringa Rose Tweve, Cosato Chumi
na Ritta Kabati wakiwa katika picha pamoja na wanafunzi wa
shule ya Southern Highlands Mafinga baada ya kutembelea bunge
,wanafunzi hao wapo katika ziara ya kimasomo mjini Dodoma |
 |
Wanafunzi wa
shule bora inayoongoza kwa ufaulu mkoani Iringa Southern
Highlands Mafinga wakiwa nje ya bunge na wabunge wanaotoka mkoa
wa Iringa na wabunge wengine pamoja na walimu na wajumbe wa bodi
ya shule hiyo wakiwakilishwa na Marcelina Mkini mjumbe wa NEC (wa
wa nne kutoka kushoto mstari wa nyuma kabisa ) wengine ni mbunge
wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati kulia kwake ,wa wa
sita ni mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Rose Tweve na wa pili
kulia ni mbunge wa jimbo la Mafinga mjini Cosato Chumi |
 |
Mke wa Rais
mstaafu wa awamu ya nne mama Salma Kikwete akizungumza na
wanafunzi wa shule ya Southern Highlands Mafinga Bungeni Dodoma |
 |
Mbunge Rose
Tweve wa viti maalum mkoa wa Iringa kushoto na Ritta Kabati wa
pili kushoto wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya
Southrerm Highlands Mafinga pamoja na mke wa Rais mstaafu wa awamu
ya nne Salma Kikwete aliyevaa kiremba |
Picha zote kwa hisani ya mbunge wa jimbo la Mafinga mjini Mh Cosato Chumi ambae ni mdau wa matukiodaimaBlog
No comments:
Post a Comment