Klabu ya Manchester
United imetajwa kuwa ndio timu yenye thamani kubwa duniani kwa
mujibu wa jarida la habari za biashara la Forbes.
Barca wako katika nafasi ya pili wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.82, mabingwa wa ulaya Real Madrid wakoa katika nafasi ya tatu wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.77.
Timu zinazofuata kwa thamani duniani
4) Bayern Munich - $2.71bn (£2.10bn)
5) Manchester City - $2.08bn (£1.61bn)
6) Arsenal - $1.93bn (£1.50bn)
7) Chelsea - $1.85bn (£1.43bn)
8) Liverpool - $1.49bn (£1.15bn)
9) Juventus - $1.26bn (£980m)
10) Tottenham - $1.06bn (£820m)
SHARE
No comments:
Post a Comment