KARIBU watu 15
hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka siku ya
Jumatatu usiku, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
Gazeti la Star nchini Kenya lilisema kuwa watu kadha waliokolewa kabla ya jumba hilo kuporomoka.
Walioshuhudia waliliambia gazeti hilo kuwa jumba hilo lilikuwa limeonyesha dalili baada ya nyufa kuonekana kwenye kuta zake.
Jumla ya watu 49 walifariki wakati jumba lingine liliporomoka kufuatia mvua kubwa mwezi Aprili mwaka huu.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment