TRA

TRA

Thursday, June 22, 2017

Luanda ya Angola ndiyo mji ghali zaidi duniani

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !




http://amadeusafricablog.com/wp-content/uploads/2017/01/luanda-angola.jpg
TOKYO- MJI Mkuu wa Angola, Luanda, umechukua nafasi ya kwanza kama mji ghali zaidi duniani kwa wataalamu na kuupiku mji wa Hong Kong ambao umeshika nafasi ya pili.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Shirika la Mercer, mji huo unakuwa ghali zaidi kuliko miji yote duniani kulingana na gharama za kuishi katika mji huo. Miji ya Tokyo, Zurich na Singapore pia nayo imefanikiwa kuwepo katika nafasi tano za mwanzo.
 
Mji wa London umeporomoka hadi nafasi ya 30, kutokana na kushuka kwa thamani ya pauni. Utafiti huo wa kila mwaka, huangazia masuala kadhaa kando na gharama ya kukodi nyumba.
 
Utafiti huo huangazia gharama ya vitu 200 kwa kila mji, ikiwemo nyumba, usafiri, mavazi, chakula na burudani.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger