Kutokana na hali hiyo, wananchi wa LAPF wanakaribishwa kutembelea mabanda ya mfuko huo ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo. Wakiwa kwenye mabanda hayo watafahamishwa faida za kujiunga na mfuko huo.
Maonesho hayo yanabeba kaulimbiu isemayo Ukuzaji wa Biashara kwa Maendeleo ya Viwanda, inanalenga kutumia maonesho hayo kama jukwaa la kutangaza biashara na huduma mbalimbali kwa ajili ya ukuzaji wa sekta ya viwanda.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akitoa ufafanuzi mbele ya Wahariri wa vyombo vya habari kuhusiana na namna mfuko huo unavyoweza kuhudumia wateja wake katika semina iliyofanyika siku chache zilizopita. Katikati ni
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Theophil Makunga na Katibu wa jukwaa hilo, Neville Meena.
SHARE
No comments:
Post a Comment