TRA

TRA

Wednesday, June 21, 2017

TAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 









JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo   : “N G O M E”                      Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463                  Sanduku la Posta 9203,
Telex                     : 41051                                  DAR ES SALAAM,21Juni, 2017.
Tele Fax               : 2153426
Barua pepe       : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Tovuti                  : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Romanus Mbilinyi Hellela (mstaafu), kilichotokea tarehe 18 Juni, 2017 katika Hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mwili wa marehemu utaagwa rasmi tarehe 23 Juni, 2017 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na mazishi yatafanyika saa 8.00 mchana katika makaburi ya Kinondoni.  
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi : 0756 716 085

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger