Uchumi wa Afrika Kusini umeshuka katika robo ya kwanza
ya mwaka 2017 na kusababisha ustawi wa taifa hilo lenye nguvu barani
Afrika kudorora kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009.
Ukosefu wa ajira pia ukiwa umeongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi
kutokea kwa miaka 14, Rais Jacob Zuma anajikuta katika shinikizo
SHARE
No comments:
Post a Comment