Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Pallangyo akifungua warsha ya siku moja ya wadau wa Jotoardhi uliofanyika katika Kituo cha mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam leo Juni 15 2017. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot) |
Ofisa misitu Mkuu Kitengo cha Nishati Mbadala, Paul Kiwele akiongea wakati wa Warsha ya wadau wa Jotoardhi iliyofanyika Dar es Salaam leo. |
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania, Mhandisi Kato Kabaka akiwasilisha mada wakati wa Warsha ya wadau wa Jotoardhi iliyofanyika Dar es Salaam leo. |
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Pallangyo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha hiyo. |
Washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali. |
Washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali. |
SHARE
No comments:
Post a Comment