TRA

TRA

Thursday, June 22, 2017

WANAFUNZI WALIOSHINDA MEDALI ZA DHAHABU MASHINDANO YA GENIOUS OLYMPION HUKO MAREKANI WAPOKEWA NA MAMA SALMA KIKWETE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 

Mama Salma Kikwete aliwaongoza wazazi kumpokea mwanae Rashid Jakaya Kikwete na watoto wengine kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, waliporejea nyumbani kutoka Marekani walikotwaa medali za dhahabu katika mashidnano ya uwezo kitaaluma ya Genius Olympion ambayo yalishirikisha jumla ya nchi 63 Dubiani. Wanafunzi hao kutoka shule ya sekondari ya wavulana, Feza Boys ya Kawe jijini Dar es Salaam, ni pamoja na Rashidi Jakaya Kikwete, mtoto wa Rais mstaafu Jakaya Kikwete, Abdulrazak Juma Nkamia, Mtoto wa Mtangazaji wa zamani wa redio, ambaye sasa ni Mbunge wa Chemba Mkoani Singida, Juma Nkamia, na Abdallah Rubeya.
Mama Salma aliwapongeza wanafunzi hao kwa kufanya vizuri katika mashindano hayo lakini pia kwa kuitangaza Tanzania.


Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger