TRA

TRA

Tuesday, June 13, 2017

Watu 4 wapigwa risasi mjini Munich, Ujerumani

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Polisi mmoja mwanamke amepigwa risasi kichwani wakati mwamamume mmoja alipompokonya bunduki yake katika kituo kimoja cha treni mjini Munich.

Mwanamke huyo alijeruhiwa vibaya pamoja na watu wawili waliokuwa kando ambao walijeruhiwa awakti wa ufayatuaji huo wa risasi, kwa mujibu wa polisi.

Polisi walimpiga risasi na kumjeruhi mshambuliaji ambaye sasa yuko kizuizini. Polisi wanasema kuwa hakikuwa kisa cha ugaidi.
 Oparesheni kubwa ya polisi inaendelea na huduma za usafiri wa reli zimesitishwa
Oparesheni kubwa ya polisi inaendelea na huduma za usafiri wa reli zimesitishwa
Watu waliokuwa kando pamoja na mshukuwa hakujeruhiwa vibaya
Polisi wanasema kuwa hakuna hatari yoyote kwa umma
 

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger