Baada ya kufanya kazi na kampuni
ya usimamizi wa kazi zake ya #Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku
wa jana King Kiba alitangazwa rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni
ya #Rockstar4000 Music Entertainment Co & Rockstar Television.
Alikiba sasa anakuwa sehemu ya wasanii waliochini ya Rockstar4000 pia anakuwa Director of Music n Talents.
Rockstar Television inajishughulisha na utengenezaji wa vipindi vya
mastar tofauti kutoka nchi mbalimbali na kuvisambaza katika vituo vya
Television vya kimataifa.
SHARE
No comments:
Post a Comment